![]() |
Add caption |
Timu ya Mpira wa Miguu wanawake ya mkoa wa Dar es salaam imeishushia kipogo timu ya wanawake ya mkoa wa Lindi baada ya kufanikiwa kuichapa timu hiyo kwa mabao 9-0 katika mchezo wake wa kwanza uliopigwa katika kiwanja cha magereza Butimba jijini Mwanza.
![]() |
Na katika kiwanja cha shule ya sekondari Nsumba timu ya Mkoa wa Arusha iliyopo katika kundi D ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mkoa wa Rukwa, Morogoro wakikubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa timu ya Manyara.
0 comments:
Post a Comment