MOURINHO: HATUNGEFUNGA BAO HATA KAMA TUNGECHEZA KWA SAA KUMI DHIDI YA NEWCASTLE
Bao la dakika ya 65 la Matt Ritchie lilitosha kabisa kuifanya Manchester United kushindwa kwa mara ya tano msimu huu.
Sasa Mashetani hao wa Old Trafford wako nyuma ya viongozi Manchester City kwa pointi 16 baada ya klabu hiyo inayonolewa na Josep Pep Guardiola kuichakaza klabu ya Leicester City kwa mabao matano katika mchezo uliopigwa tarehe 10 februari 2018.
Meneja huyo wa zamani wa Chelsea alisema kuwa Newcastle walicheza kama wanyama kushinda nyumbani
0 comments:
Post a Comment