Mlinzi wa kushoto
wa klabu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Brazil Marcelo Vieira da Silva Júnior amesema anaamini kuwa mchezaji mwenzake wa Brazil, Neymar da Silva Santos Junior, ipo siku atajiunga na klabu ya Real Madrid nchini
Uhispania.
Neymar alihamia
Paris Saint-Germain kutoka Barcelona mwisho wa majira ya joto kwa ada ya
uhamisho wa rekodi ya Uro laki mbili na ishirini na mbili (222,000), lakini
amelazimika kukataa mara kwa mara kwamba yeye hajui kama ana furaha katika
klabu hiyo licha ya kuwepo kwa uvumi kuwa uenda akatimka katika dimba la Parc
des Princes.
Marcelo ameyasema
hayo zikiwa zimebaki siku chache tu miamba hiyo ya soka barani ulaya kuumana
katika michuano ya klabu bingwa barani ulaya hatua ya kumi na sita bora.
0 comments:
Post a Comment