Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe akitaja majina ya Wajumbe watakaounda Baraza la Michezo la Taifa |
Bw. Leodger Chilla Tenga Mwenyekiti Mpya wa Baraza la Michezo la Taifa |
Dokta Mwakyembe pia amewateua wajumbe wengine sita (6) wa Baraza hilo kama ifuatavyo:
- Prof. Mkumbwa M.A. Mtambo
- Bi. Beatrice Singano
- Kanali Mstaafu Juma Ikangaa
- Bw. John Joseph Ndumbaro
- Bi. Rehema Sefu Madenge
- Bw. Salmin Kaniki
- Yusuph Singo - Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
- Dkt. Edicome Shirima - kamishna wa Elimu , Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi.
- Mohammed Kiganja, Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa ambaye atakuwa ni Katibu wa Baraza.
vilevile Dkt. Mwakyembe kwa mujibu wa sheria amemteua Bw. Timothy Mganga kuwa Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya kwa kipindi cha miaka mitano (5)
0 comments:
Post a Comment