Mshambuliaji wa Manchester United Jesse Lingard akifunga moja ya magoli katika mechi ya kombe la FA dhidi ya klabu ya Derby County nchini Uingereza |
Tottenham pia watakutana na klabu ya League Two, Newport County.
Viongozi wa Ligi ya Premier Manchester City wamepangwa kukutana na mshindi kati ya Cardiff City na Mansfield.
Nottingham Forest, ambao waliwaondoa mabingwa watetezi Arsenal Jumapili watakutana na wenzao wa ligi ya Championship Hull City.
Mechi za raundi ya nne zitachezwa wikendi ya 26-29 Januari.
Droo kamili raundi ya nne:
Liverpool v West Brom
Peterborough v Fleetwood/Leicester
Huddersfield v Birmingham
Notts County v Wolves/Swansea
Yeovil v Manchester United
Carlisle/Sheffield Wednesday v Stevenage/Reading
Cardiff/Mansfield v Manchester City
MK Dons v Coventry
Millwall v Rochdale
Southampton v Watford
Middlesbrough v Brighton/Crystal Palace
Bournemouth/Wigan v Shrewsbury/West Ham
Hull v Nottingham Forest
Newport County v Tottenham
Norwich/Chelsea v Newcastle
Sheffield United v Preston
0 comments:
Post a Comment