Pastory Athans akikabidhiwa jezi na Mkurugenzi wa Singida United ndg.Festo Sanga |
Singida United Fc imemsajili winga wa kulia aliyetemwa na Simba SC, Pastory Athanas, kwa kandarasi ya miaka miwili.
Pastory Athanas moja ya wachezaji wazuri vijana lakini si chaguo kwa kocha Omog wa Simba, hivyo ameamua kupeleka huduma yake kwa timu ya Singida United Fc.
0 comments:
Post a Comment