Saturday, July 1, 2017

Arsenal wameripotiwa kuwa tayari kuvunja benki kwa kulipa zaidi ya pauni Milioni Hamsini ( £50millioni) ili kuinasa saini ya mshambuliaji wa Ufaransa, Alexandre Lacazette kutokea klabu ya Lyon.
Vyanzo vya habari nchini Ufaransa vinasema, nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 ambaye msimu uliopita alifunga mabao 37  katika mechi 45 alizocheza, amewaambia marafiki zake kuwa dili hilo litakalogharimu kiasi hicho cha fedha tayari limeshakubaliwa.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video