Rasmi: Ibrahim Ajib Migomba amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Yanga SC kuanzia msimu ujao wa mashindano 2017/2018.
Ajib ametambulishwa leo na katibu mkuu wa Yanga, Charles Mkwasa katika mkutano na Waandishi wa Habari.
Ajib amekabidhiwa jezi namba 10 aliyekuwa anavaa mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo, Matheo Anthony.
0 comments:
Post a Comment