Barcelona wameacha pointi mbili kwenye mbio za kuwania ubingwa wa La Liga baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Real Betis.
Dakika ya 90' Luis Suarez alipachika bao la kusawazisha na kuwapa alama moja Barcelona ambao ni Mabingwa watetezi wa La Liga.
Hata hivyo Refa wa mechi hiyo aliwanyima bao Barca kipindi cha pili kwasababu shuti la Jordi Alba dhahiri lilivuka mstari wa goli (pichani juu).
Msimamo wa La Liga unaonekana hivi kwenye nafasi tano za juu (Tano Bora) na baadaye saa 4:45 usiku Real Madrid watakuwa uwanjani kucheza na Real Sociedad.
0 comments:
Post a Comment