Friday, December 23, 2016

Haruna Niyonzima ni moja ya nyota wa Yanga ambao kwa sasa ndiyo gumzo mjini pamoja na Simon Msuva kutokana na kufanya kweli siku za hivi karibuni. Watu wengi wamekuwa wakisema Niyonzima amefanya vizuri kuanzia mwishoni mwa raundi ya kwanza na mechi ya kwanza ya raundi pili.
Inatajwa kuwa, kiwango cha Niyonzima kilififia kutokana na kubadilishiwa eneo la kucheza. Kocha msaidizi wa Yanga amsema ni kipi hasa kilichombadilisha Niyonzima na kumrejesha kwenye ubora wake uliozoeleka.
“haruna Niyonzima ni mchezaji mzuri, bahati mabaya hapo katikati alikuwa na matatizo ya kifamilia yaliyomfanya ashindwe kuweka umakini uwanjani.”
“Haruna ni mchezaji professional anayeweza kucheza nafasi zaidi ya moja uwanjani na zote anaziweza kwa kiasi kikubwa. Ukiangalia kuna mechi alicheza kwenye nafasi tofauti na tunayompanga sasa lakini aliweza kutusaidia tukapata ushindi.”
Anacheza vizuri akiwa nyuma ya mshambuliaji wa kwanza au akiwa kiungo wa mshambuliaji. Tumeweka mfumo ambao unamfanya Haruna aweze ku-shine.”

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video