Tuesday, December 27, 2016

Chelsea waendelea vizuri na kampeni yao ya kutafuta ubingwa kwa msimu huu na inaonekana hawapo vibaya sana kwenye kampeni hiyo.
Hadi sasa Chelsea wameshinda mechi zao 12 kwenye msimu huu mfululizo huku wakiwa point 9 clear juu ya table. Labda kama Liverpool wakishinda mechi dhidi ya Stoke City watapunguza gape hilo.
Kwa upande wa wachezaji binafsi Eden Hazard ameendelea kucheza vizuri na kuweka rekodi binafsi ndani ya club hiyo. Hadi sasa Hazard anakuwa mchezaji wa 6 kuifungia Chelsea zaidi ya magoli 50.


Hapo mwanzoni kulikua na Lampard, Drogba, Hasselbaink, Zola na Gudjohnsen. Hatimaye Hazard ameingia kwenye kundi hili na anaonekana kuwa na uwezo wa kufika mbali zaidi kwasababu bado ana nafasi ya kucheza na kufunga magoli mengi zaidi.
screen-shot-2016-12-27-at-12-49-58-pm

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video