Tuesday, December 27, 2016

Kiungo mwenye pasi, Zahoro Pazi sasa yuko huru kuanza kuitumikia Mbeya City.

Hiyo inatokana na FC Lupopo ya DR Congo kukubali kutoa Uhamisho wa Kimataifa (ITC).
Zahoro mtoto wa kipa nyota wa zamani wa Simba, Iddi Pazi 'Father', alishindwa kuitumikia Mbeya City katika mechi mbili za kwanza za mzunguko wa pili kwa kukosa ITC.
Zahoro aliwahi kuichezea Simba ya Dar es Salaam, hata hivyo hakupata mafanikio makubwa kabla ya kuamua kuondoka.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video