Mshambuliaji Muargentina, Carlos Tevez amefunga ndoa na Vanesa Mansilla.

Tevez alipigwa picha akiwa amevalia suti maridadi.

Nyota huyo anayeachana na klabu yake ya Boca Juniors ya Nchini kwako Argentina na kwenda nchini China alionekana mwenye bashasha ya kutosha baada ya kufunga pingu za maisha na mchuchu wake Vanesa.
0 comments:
Post a Comment