MPENJA SPORTS imekuandalia matokeo ya mechi za leo za ligi kuu soka Tanzania Bara (VPL), idadi ya magoli na Wafungaji wote:;
@@@
Zimechezwa mechi sita (6)
Zimechezwa mechi sita (6)
1. Mbeya City 2-1 Yanga SC
Wafungaji:
Mbeya City: Hassan Mwasapili na Kenny Ally
Yanga: Donald Ngoma
2. Stand United 0-1 Simba SC
Mfungaji: Shiza Kichuya (Penati)
3. Toto African 0-1 Azam FC
Mfungaji: Shaaban Idd
4. Ndanda FC 1-0 Tanzania Prisons
Mfungaji: Riphat Khamis
5. Majimaji FC 1-0 JKT Ruvu
Mfungaji: Marcel Bonaventure
6. Ruvu Shooting 1-0 African Lyon
Mfungaji: Issa Kandulu
###Jumla yamefungwa magoli 8 na wafungaji 8 tofauti.
@&MPENJA SPORTS
0 comments:
Post a Comment