Tuesday, November 8, 2016

Simba SC walikuwa wamecheza mechi 13 bila kufungwa, huku michezo sita kati ya hiyo wakishinda bila kuruhusu goli, watu wengi walitegemea Mnyama angeendeleza rekodi hiyo murua dhidi ya African Lyon, lakini dakika za mwisho Abdallah Msuhi alipachika bao ambalo nililitangaza mimi kupitia Azam Sports HD na kuliita bao la ajabu jioni ile na ikabaki kuwa Drama Uwanja wa Uhuru. Wadau wangu waamini Commentary ya goli lile ilikuwa ya aina yake. Asante Mungu na asanteni nyote!

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video