Tuesday, November 15, 2016


Mlinzi wa klabu ya Azam FC ya jijini Dar Es Salaam, Serge Wawa, amekiri kwamba ameingia makubaliano na klabu yake ya zamani ya El Merreikh ya Sudan baada ya kupotezewa na mabingwa hao wa Afrika Mashariki kuhusu kuongezewa mkataba baada ya mkataba wake wa sasa kufikia ukingoni
Mwandishi wa kipindi cha Mshikemshike Viwanjani kinachorushwa na Azam TWO na Azam Sports HD kila siku saa tatu usiku, Timzoo Kalugira amekutana na mchezaji huyo Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere mapema asubuhi ya leo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video