Saturday, November 12, 2016

AZAM FC imekula kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Maafande wa JKT Ruvu kwenye mechi ya Kirafiki iliyochezwa Jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex.
Mabao ya JKT Ruvu yamefungwa na Samwel Kamuntu na Abdulrahman Mussa.
Imewashangaza wengi wa Abdulrahman ambaye ni mchezaji wa Ruvu Shooting kwasasa kuichezea JKT Ruvu ambapo yeye mwenyewe amesema timu hizo zote ni zake.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video