Tuesday, November 15, 2016

Wachezaji wa klabu ya Manchester City walipewa onyo kuacha kufanya mapenzi na wapenzi wao nyakati za usiku mkali wa manane, amenukuliwa mchezaji na kiungo wa zamani wa klabu hiyo, Samir Nasri.

Ikumbukwe wachezaji kadhaa wa klabu ambao waliaminika kuwa na ubora waliondolewa katika kikosi cha Manchester City na kocha huyo, na Nasri akiwa mmoja wao ametoa maelezo juu ya mipango na mahitaji ya kocha huyo kwa wachezaji wake.

Kipaumbele cha Guardiola tangu anatua katika klabu ya Manchester City ilikuwa ni kupandisha kiwango cha wachezaji kuwa imara (fitness) hii ikiwa kupitia uongozi wote na hii ilimaanisha kuwa wachezaji nyota wa klabu hiyo walizuiwa kutokujihusisha na masuala kama ya mapenzi ambayo yangeweza kusababisha majeraha ambayo hayakuwa ya lazima.

“Masuala yote ya kimahusiano yanatakiwa kuwa kabla ya usiku wa manane. Na hii ilikuwa hata kama hukuwa na shughuli katika siku inayofuata,” Nasri aliiambia L’Equipe.

“Ni kwa namna hii pekee ambayo unaweza kuwa na usiku mwema.

“Alitueleza kuwa hii ndio namna iliyomfanya apate kilichokuwa bora kutoka kwa wachezaji kama [Lionel] Messi pamoja na [Robert] Lewandowski, huku pia ikiwa ndio sababu iliyowasaidia kuepuka majeraha ya misuli.”

Pamoja na zuio hilo la mambo ya faragha, Guardiola pia anajulikana kwa kuwa mkufunzi mzuri wa mazoezi huku pia akiwa mzuri katika kuelekeza na kuchambua kupitia video, huku Nasri akikiri kuwa kocha huyu wa zamani wa Barcelona ni wa kipekee linapokuja suala la kufanikisha anachokihitaji kiuchezaji.

“Ukiwa na Guardiola kuanzia siku ya kwanza mazoezini, unafahamu namna unayotakiwa kucheza, namna ya kupress na namna ambayo unatakiwa kuwepo wakati upo mbali ya mpira,”aliongeza.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video