Wednesday, November 2, 2016



Wakati Ligi kuu soka Tanzania Bara ikiingia ukiongoni kwa nusu msimu, TFF inatoa wito kwa timu kuajiandaa na dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kuanza Novemba 15, mwaka huu kusajili wachezaji mahiri ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mwendelezo wa ligi hiyo nusu ya msimu uliobaki utakaoanza baadaye Desemba.
Wakati wa usajili wa dirisha dogo ndipo michuano ya hatua ya awali ya kuwania Kombe la Shirikisho la Azam 2016/2017 inatarajiwa kuanza Novemba 19, mwaka huu ambako pia imepangwa kuzindua michuano hiyo hukop mkoani Mara.
Safari hii timu shiriki zimeongezwa mabingwa wa mikoawa mwaka jana hivyo kufikisha idadi itakayofika 86 badala ya 64 za msimu ulioipita. Imechukuliwa mikoa 22 baada ya ile mitano, kupanda Daraja kucheza Ligi Daraja la Pili msimu huu ambayo imeanza kushika kasi.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video