Saturday, November 12, 2016

  Picha mbalimbali za wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, wakifanya mazoezi leo Jioni Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe, Mjini Zimbabwe.

Mchezo unatarajiwa kuanza saa 9.00 alasiri kwa saa za Zimbabwe, sawa na saa 10.00 jioni kwa majira ya Afrika Mashariki.

Mchezo pia utaoneshwa mubashara kupitia Kituo cha Televisheni ya Taifa cha Zimbabwe (ZBC) hapa nchini kuonekana live kupitia Kituo cha Televisheni cha Azam ( Azam TV).


0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video