Ajali mbaya sana eneo la Mwidu baada ya Mdaula unapoelekea Morogoro. Wanayanga Sefu Chuma aliyekuwa dereva, Bakiri Makere na mjumbe wa kamati ya utendaji Omary kutoka Zanzibar wamepata ajali mbaya sana walipokuwa safarini kwenda Mbeya kuangalia mchezo wa Mbeya City na Yanga kesho.
Tuesday, November 1, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment