Thursday, November 10, 2016

Meneja wa Manchester United Jose Mourinho ameripotiwa kuwa na mipango ya kufanya mabadiliko makubwa kwenye kikosi chake kufuatia kutoridhishwa na moyo wa kujitolea kwa baadhi ya wachezaji klabuni hapo.

Bosi huyo wa Kireno amejikuta akiona timu yake ikisuasua baada ya kuanza vyema mwanzoni mwa msimu, huku mpaka sasa wakiwa nyuma kwa alama nane dhidi vinara wa ligi hiyo Liverpool.

Walinzi Luke Shawa na Chris Smalling wamejikuta wakiingia kwenye mtego wa kukosolewa hadharani huku Mourinho akitanabaisha kwamba kitendo cha kuwaondoa kikosini dakika chache kabla ya mchezo dhidi ya Swansea ilitokana na kupata majeraha.

"Kuna utofauti kati ya jasiri, ambaye anataka kucheza kwa kwa hali yoyote ili mradi aisaidie timu, na wengine ambao endapo inatokea hata wanapata maumivu madogo tu yanaweza kuwatoa mchezoni," aliwaambia wanahabari.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video