Thursday, November 10, 2016



Mzunguko wa kwanza wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara (VPL) unamalizika leo kwa mechi moja ya mwisho kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Maafande wa Ruvu Shooting kutoka Pwani.
Mtanange huu ambao endapo Yanga watashinda watafikisha alama 33, pointi mbili nyuma ya vinara Simba SC utachezwa Uwanja wa Uhuru, Jijini Dar es salaam kuanzia saa 10:00 Jioni.
Yanga wanaingia kwenye mchezo huu wakiwa na kumbukumbu ya kushinda 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons Mwishoni mwa Juma lililopita Uwanjani Sokoine Mbeya, wakati Ruvu Shooting walifungwa 3-1 na Kagera Sugar Dimbani Kaitaba.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video