Friday, November 11, 2016

Kocha mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm  ambaye anadaiwa kuwa wachezaji wake katika mechi ya jana waliyoshinda mabao mawili kwa moja dhidi ya Ruvu Shooting, amesema bado ni mapema kusema amejiuzulu kwa mara nyingine kwasababu anasubiri kikao na mwenyekiti wa klabu, Yusuf Manji.
Kwanza ni kuingilia kwa  rafiki yangu waziri wa mambo ya ndani…tulifanya vikao…tukawa na kikao pia na Mwenyekiti. Alinishawishi kuendelea. Pia nadhani jambo la muhimu zaidi ilikuwa ni muitikio chanya wa mashabiki, walinitaka kuendelea na hiyo ilikuwa sababu ya kuendelea na kazi yangu. Kwa upande mwingine au kwa hatua nyingine bado sijajiuzulu tena. Bado nipo kazini kwangu na Yanga. Ni mapema sana kusema nataka kuondoka, nasema itategemeaa na kikao nitakakachokaa na Mwenyekiti wangu”. Ameeleza Pluijm.

Mholanzi huyo pia ametolea ufafanuzi wa kadi nyekundu aliyopata jana na kutolewa kwenye benchi la ufundi akiwadaiwa kumsukuma mwamuzi wa mezani wa mchezo huo, Lulu Mushi.
“Jana nilipata kadi nyekundu kwenye mechi dhidi ya Ruvu Shooting, kwa bahati mbaya sana katika maisha yangu ya soka niliyoanza soka la kulipwa nikiwa na miaka 17 na wakati wote nikiwa kocha, sijawahi kupata kadi ya njano wala nyekundu. Nilishangazwa sana nilipokwenda kumuomba mwamuzi kwamba, tafadhali unatakiwa kutenda haki kwa timu zote, baada ya mechi meneja wangu wa timu akaniambia nilimsukuma muamuzi. Nilienda vyumbani kwao kwasababu niliataka kujua hilo, nilimwambia kama nimekukwaza naomba radhi, nadhani sio vizuri ukiwa kocha kupata  kadi nyekundu, ni kosa langu la kwanza  katika uchezaji na ukocha, lakini hakutaka kuongea namimi, basi nikamwambia sawa, andika ripoti yako, lakini nina uhakika mno, sijawahi kumgusa muamuzi”. Amesema Pluijm kwenye Mahojiano Maalum na MPENJA SPORTS


== 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video