Monday, November 7, 2016

Ushindi ni jambo la kufurahisha kwa kila binadamu anayefanya kazi kwenye tasnia yoyote ile. Yanga walipata pigo Jumatano iliyopita baada ya kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City katika Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Lakini jana wamejitahidi kupambana na kuibuka na ushindi mwembamba wa jasho kali, bao lililofungwa na Simon Msuva kwa njia ya penati.

Baada ya ushindi huo kiungo wa timu hiyo Mzimbabwe Thabani Kamusoko hakusita kuonesha furaha yake katika ukurasa wake wa Facebook.

Kamusoko alindaika hivi: "What a tough game but this win is a turning point for us... Happy for the 3 points... God for us all... #MUNGU WETU SOTE."

Akimaanisha: "Mchezo ulikuwa mgumu lakini ushindi huu na dira mpya kwetu....Ni furaha kubwa kupata pointi 3...Mungu wetu sote."

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video