Saturday, November 12, 2016

Timu ya Soka ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) jana usiku iliwasili salama nchini Zimbabwe na kufikia katika Hoteli ya The Rainbow Towers iliyopo jijini Harare.

Inaelezwa msafara wa wachezaji pamoja na viongozi ulipata mapokezi mazuri. 

Mchezo huo wa Stars na Zimbabwe utapigwa kunako Uwanja wa Tifa wa Zimbabwe unaojulikana kama National Sports Stadium uliopo jijini Harare.

Mchezo unatarajiwa kuanza saa 9.00 alasiri kwa saa za Zimbabwe, sawa na saa 10.00 jioni kwa majira ya Afrika Mashariki.

Mchezo pia utaoneshwa mubashara kupitia Kituo cha Televisheni ya Taifa cha Zimbabwe (ZBC) hapa nchini kuonekana live kupitia Kituo cha Televisheni cha Azam ( Azam TV).

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video