Friday, November 11, 2016

Philippe Coutinho (kushoto) and Gabriel Jesus (kulia) wakishangilia na Neymar baada ya kufunga bao 

Michezo mitano ya kuwania tiketi ya kufuzu kwa fainali za kombe la mwaka 2018, imecheza kwa ukanda wa Amerika ya Kusini.

Brazil wakicheza katika dimba la Belo Horizonte, wamewachapa Argentina kwa mabao 3-0, mabao ya brazili yakifungwa na Philipe Couthino, Neymer, na Paulinho.

Venezuela wakicheza nyumbani nao wameibuka na ushindi wa kishindo kwa kuwachapa bolivia kwa mabao 5-0.

Paraguay wamekubali kichapo nyumbani baada ya kufungwa mabao 4-1 na Peru,Uruguay wakashinda kwa mabao 2 - 1 dhidi ya Ecuador.
Mfungaji wa bao la kwanza la Uruguay Sebastian Coates akishangilia na Diego Godín
Colombia wakashindwa kuutumia vyema uwanja wa nyumbani baada ya kutoshana nguvu na Chile kwa sare ya bila kufungana.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video