Msafara wa wachezaji na benchi la ufundi umewasili salama jijini Mbeya. Timu iliwasili majira ya saa 3:45 uwanja wa ndege wa Songwe na kuelekea mjini ilipoandaliwa hoteli.
Wachezaji waliopo katika msafara huo kwa ajili ya mechi ya jumatano dhidi ya Mbeya City ni hawa wafuatao;
1. Magolikipa
- Deogratius Munishi
- Beno Kakolanya
- Ali Mustafa
2. Walinzi
- Nadir Haroub
- Kelvin Yondani
- Vicent Bossou
- Andrew Vicent
- Hassani Kessy
- Mwinyi Haji
- Pato Ngonyani
- Oscar Joshua
3. Viungo
- Haruna Niyonzima
- Thabani Kamusoko
- Mbuyu Twite
- Saidi Juma
- Saimoni Msuva
- Juma Mahadhi
- Deusi Kaseke
- Yusufu Mhilu
- Geofrey Mwashuiya
4. Washambuliaji
- Donald Ngoma
- Amisi Tambwe
- Obrey Chirwa
- Mateo Antony
5. Benchi la ufundi
- Hans Van Pluijm ( Kocha mkuu )
- Juma Mwambusi ( Msaidizi )
- Juma Pondamali ( Kocha wa makipa )
N/B: Wachezaji waliobaki Dar es salaam
- Juma Abdul ( majeruhi )
- Malimi Busungu.
0 comments:
Post a Comment