Mwenyekiti wa Yanga SC, Yusuf Manji
Wanachama wote mnaombwa kufika bila kukosa kwani ni kwa faida na maslahi mapana ya Timu yetu.
Agenda za mkutano pamoja na mahali mkutano mkuu utakapofanyika mtajulishwa mapema kabla ya siku husika kufika.
kuna uwezekano mkubwa ukawa ni kuhusiana na suala la kukodisha.
Hivi
karibuni, Baraza la Michezo la Taifa (BMT), limetoa taarifa ya kutaka
kufuatwa kwa taratibu likionyesha kupinga mkataba wa ukodishwaji wa
Yanga.
Hata hivyo, taarifa hiyo ya BMT iliyosainiwa na Katibu wake, Mohamed Kiganja inaonekana kujichanganya kiasi kikubwa.
0 comments:
Post a Comment