Friday, October 14, 2016

MPACHIKAJI Mabao wa Yanga SC , Amiss Jocelyn Tambwe anataraji kuwemo katika kikosi kitakachowakabili Azam FC siku ya Jumapili (16 , Oktoba). 
Tambwe aliumia katika mchezo uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar baada ya kugongana na Shaaban Nditi.
 Tambwe alishonwa nyuzi tano kutokana na kuumizwa vibaya na kupasuka kichwani na majeraha hayo yalimfanya kushindwa kuendelea na mchezo.
Taarifa zilizopatikana leo zinasema, hali yake imetengamaa na yupo tayari kupigania ushindi dhidi ya Azam FC.
Mpaka sasa Tambwe ndiye anaongoza kufunga mabao ndani ya Yanga ambapo katika mechi 7 alizocheza msimu huu amepachika magoli 4.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video