Cristiano Ronaldo ni mtu anayependa sana wakati mwingine kutumia muda wake wa ziada kufanya mamabo yanayoweza kuwafurahisha kupelekea ku-refresh akili yake.
Amewahi kufanya matukio mbalimbali ya kufurahisha jamii kama lile la kuvaa 'mask' na kucheza mpira katikati ya jiji la Madrid na mengine mengi tu.
Sasa kuna hili tukio jingin ni hili la kugeuka kuwa “ball boy”, wa timu ya watoto ambayo mwanaye alikuwa miongoni mwa wachezaji kwenye timu hiyo.
Wakati mpira ulipokuwa ukitoka nje ya uwanja, basi Ronaldo alikuwa akibeba jukumu la kufuata mpira na kurudisha uwanjani.
0 comments:
Post a Comment