Saturday, October 15, 2016


Cristiano Ronaldo amekuwa akifurahia kuwanyanyasa wapinzani wake uwanjani lakini jana naye kaonja joto ya jiwe mazoezini kwenye klabu yake ya Real Madrid katika Uwanja wa Valdebebas baada ya kupigwa tobo na Danilo.

Baada ya tukio hilo Ronaldo aliamua kuupiga mpira kwa hasira walipokaa waandishi wa habari.

Alionekana pia kumkasirikia Marcelo ambaye alimpongeza Danilo kwa kufanya kitendo hicho na vile vile kuwaambia waandishi wa habari kwamba wamefurahi yeye kufanyiwa hivyo na sasa wamepata habari ya kuandika kwa siku mbili mfululizo kwamba, 'Ronaldo alikasirika kufuatia kupigwa tobo'

Video

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video