VIDEO: OBBREY CHIRWA ALIVYOONDOA GUNDU YANGA IKIITUNGUA 3-1 MTIBWA SUGAR Kwa mara ya kwanza Mshambuliaji wa Yanga, Obbrey Chirwa alifunga goli wakati Yanga ikiichapa 3-1 Mtibwa Sugar Uwanja wa Uhuru Oktoba 12, 2016.
0 comments:
Post a Comment