Sunday, October 16, 2016



Mchezo wa Ligi kuu Soka Tanzania Bara kati ya Azam FC ambao walikuwa wenyeji dhidi ya Yanga Uwanja wa Uhuru, Dar es salaam,  umemalizika kwa Suluhu (0-0).
Mchezo huo ulikuwa ni wa saba kwa upande wa Azam wakati kwa Yanga ni mchezo wa nane. 
Kwa mujibu wa Kituo cha Televisheni cha Azam TV chenye haki za Matangazo ya VPL Exclusively kimetoa Takwimu za Dakika 90 kama ifuatavyo hapo chini:

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video