Monday, October 31, 2016

Yanga jana wameibuka na ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya waranda mbao wa Mbao FC kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

Ushindi huo unaendelea kuwaweka kwenye nafasi ya pili kwa kuwa na alama 27 nyuma ya vinara Simba wenye alama 32.

Kiungo mchezeshaji wa klabu hiyo Thabani Kamusoko ameonekana kufurahishwa mno na ushindi uo kiasi cha kuandika maneno ya shukrani kwa Kiswahili.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Kamusoko ameandika: TARATIBU TUTAFIKA....... #Yanga hoyoo

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video