Friday, October 21, 2016

Patrice Evra na Luis Suarez ni wachezaji waliokuwa na uadui mkubwa wakati wakicheza EPL kutokana na mitafaruku iliyokuwa ikitokea kati ya wawili hao.

Luis Suarez aliwahi kumtolea maneno ya kibaguzi Evra wakati akiwa Manchester United na Suarez akicheza Liverpool, Suarez tena akakataa kusalimiana na Evra wakati timu hizo zilipokuwa zikikutana kwenye mchezo wa EPL.

Mgogoro wao umedumu kwa muda mrefu hata wakati huu ambapo kila mmoja anacheza kwenye ligi tofauti, Evra akicheza Juventus ya nchini Italy huku Suarez akicheza Barcelona ya Uhispania.

Lakini Evra kwa kuonesha ukomavu wake wa akili ameamua kuachana na hali hiyo na kutafuta njia nzuri ya kuishi kwa amani na Suarez.

Evra amesema hataki tena kuishi ana hiyo ya masiha ya Suarez. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Evra amempost Suarez na kumpongeza kwa kushinda tuzo ya mfungaji bora wa La Liga na kupata kiatu cha dhahabu.

Ameandika hivi: “Kwenye Instagram kuna neno upendo tu na hakuna neno chuki !!! Luis, wewe ni mchezaji mkubwa na bora sana, wewe ni namba tisa bora, hongera sana Luis @ luissuarez9. Naupenda sana huu mchezo !!! hahahaah”

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video