Thursday, October 6, 2016

Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara amepigwa faini ya sh. 200,000 (laki mbili) kwa kuingia uwanjani baada ya mechi hiyo wakati yeye hakuwa miongoni mwa maofisa wa mechi waliotakiwa kuwepo katika eneo hilo.
Adhabu dhidi ya Manara ni kwa mujibu wa Kanuni ya 14(10). Eneo husika ni kwa ajili ya wachezaji, mabenchi ya ufundi, waamuzi, madaktari, huduma ya kwanza, wapiga picha na maofisa wengine wa mechi.
Manara alijikuta akizidiwa na mzuka wa furaha uliotokana na bao la kusawazisha la Shiza Kichunya ambalo lilifungwa dakika ya 87 kwa mpira wa kona uliozama kambani moja kwa moja.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video