Friday, October 7, 2016



LIGI kuu Soka Tanzania Bara imeendelea leo kwa mechi mbili kuchezwa ambapo Kagera Sugar wakiwa Uwanjani kwao Kaitaba, wamekubali kichapo kwa mara ya kwanza dimbani hapo kufuatia kupoteza kwa mabao 2-0 dhidi ya Toto African ya Mwanza.
Mabao hayo ya Toto yametiwa kambani na Jamal Soud dakika ya 47 na Mohamed Soud dakika ya 80.
Kwingineko, Mbeya City FC wakiwa Uwanjani kwao Kumbukumbu ya Sokoine, wametoka suluhu na Stand United ya Shinyanga.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video