Thursday, October 13, 2016

Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF linatangaza shindano la kubuni jezi mpya ya timu za Taifa.Zawadi kwa mshindi ni Tsh 2m.Mchoro uletwe kwa TFF kwa njia ya kielektrokini kupitia [email protected] au ukiwa kwenye karatasi uletwe TFF Uwanja wa Karume Ilala.Mwisho wa kupokea michoro ni tarehe 30 Novemba 2016.

By Jamal Malinzi
Rais wa TFF
Chat conversation end

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video