Friday, October 7, 2016



Mbeya City FC inacheza msimu wa nne mfululizo tangu ipande VPL msimu wa 2013/2014 chini ya kocha Juma Mwambusi wakati kwa upande wa Stand United wanacheza msimu wa tatu wa Ligi kuu soka Tanzania Bara.
Timu hizo mbili zimekutana mara nne na takwimu za mechi za ana kwa ana (Head To Head) zinaonesha kama ifuatavyo.
 Je, leo nani kuibuka mbabe Uwanja wa Sokoine ambako timu hizi zinamenyana katika kipute cha VPL?

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video