Friday, October 14, 2016

Klabu ya Simba inayo furaha kubwa kurejea Dar es Salaam hapo kesho kwenye uwanja wa Uhuru katika mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar. 

Mchezo huo ni muhimu sana kwa timu yetu ukizingatia tunachezea nyumbani na matarajio yetu ni kupata points zote tatu pale Uhuru kesho.

Tunawaomba Wanachama na Washabiki wetu waendelee kununua tiketi za mchezo huo ambazo zinauzwa na Mawakala wa Kampuni ya Selcom kote Jijini, pia tiketi hizo zitauzwa kwa njia ya mtandao *150*50#. 

Mbali ya hayo tiketi hizo zitauzwa uwanjani kesho, hivyo tunawaomba mashabiki wetu wajitokeza mapema kesho ili kuepuka usumbufu wa kukaa foleni ndefu.

IMETOLEWA NA
HAJI S MANARA. 
MKUU WA HABARI SIMBA SC. SIMBA NGUVU MOJA

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video