Sunday, October 9, 2016

 Shiza Ramadhan Kichuya ni moja ya viungo washambuliaji wa pembeni wenye madhara makubwa kwa sasa nchini. 

Hivi karibuni amejizolea umaarufu mkubwa sana baada ya kufunga bao maridhawa la kona iliyoingia moja kwa moja katika mchezo dhidi ya Yanga uliochezwa Oktoba Mosi mwaka huu Uwanja wa Taifa na kuzua shangwe zisizo na kifani kwa mashabiki wa Simba.

Bao hilo limezidi kumpa umaarufu mkubwa hasa kwa mashabiki wa timu yake ya Simba, hivyo wataalam wa kubuni wameamua kubuni picha ambayo inaonesha namna ambavyo wachezaji wanapaswa kujipanga langoni ili kuzuia kona za Kichuya zisiingie zenyewe.

Angalia picha hii hapa chini

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video