Friday, October 14, 2016

SERIKALI imeanza kuukarabati Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam hasa katika ile sehemu ya kuchezea 'Pitch' kwa kuondoa mipira ;raba' inayochanganywa na nyasi na kuweka mipya.
Timu hususani Simba zililalamika kwamba mipira hiyo ilikuwa kikwazo na chanzo cha kuumia kwa wachezaji wake kwa kuwa haukutumika kwa muda mrefu.
Tayari kazi ya kuweka mipira mipya ndani ya nyasi imeanza na Simba itakuwa ya kwanza kuutumia ikiivaa Kagera Sugar kesho katika mechi ya Ligi kuu soka Tanzania Bara.
Hata hivyo, Jumatano ya Wiki hii, Yanga waliitumia kwenye mechi dhidi ya Mtibwa Sugar na kushinda mabao 3-1 na hakuna malalamiko yoyote waliyotoa sanjari na Mtibwa wenyewe.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video