Monday, October 24, 2016

Kocha Mzambia, George Lwandamina tayari ametua nchini kwa ajili ya kumalizana na uongozi wa Yanga.

Jana iliripotiwa kocha huyo ameshatua jijini Dar kwa ajili ya kumaliza taratibu za kukabidhiwa mikoba ya Mholanzi Van Pluijm, lakini taarifa iliyopo sasa ni kwamba, Lwandamina tayari amesaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha Yanga.

Awali ilielezwa kuwa, baada ya kocha huyo mzambia kupewa majukumu ya kukinoa kikosi cha Yanga, Pluijm atakuwa Mkurugenzi wa ufundi wa mabingwa hao watetezi wa taji la VPL. Taarifa zilizopo ni kwamba klabu ya Yanga itamleta Mkurugenzi wa ufundi kutoka nchini Ureno.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video