Real Madrid chini ya kocha wake, Zinedine Zidane, leo imetoka sare ya 1-1 na Eibar katika mchezo wa Ligi kuu ya Soka ya Hispania, La Liga, Uwanja wa Bernabeu.
Fran Rico alianza kuifungia Eibar dakika ya sita kabla ya Gareth Bale kuwasawazishia wenyeji dakika ya 17.
MATOKEO YA MECHI ZILIZOMALIZIKA LA LIGA
0 comments:
Post a Comment