LIGI kuu Soka Tanzania Bara (VPL) inaendelea leo kwa mechi mbili kuchezwa.
Uwanja wa Sokoine, Mbeya, 'Wanakoma Kumwanya', Mbeya City FC watakuwa wenyeji wa Stand United, 'Chama la Wana'.
Huko Dimbani Kaitaba, Mkoani Kagera, 'Wanasupankurukumbi', Kagera Sugar watachuana na Toto African.
0 comments:
Post a Comment