Baada ya kushuhudia Yanga na Simba wakitoka sare ya 1-1 kwenye mechi ya Watani wa Jadi, Jana Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam, katika mechi ya Ligi kuu Soka Tanzania Bara, leo michezo mingine sita inachezwa.
Ratiba ya VPL Leo (Oktoba 2, 2016)
Mbeya City FC vs Mwadui FC-Uwanja wa Sokoine Mbeya
Maji Maji FC vs Stand United-Uwanja wa Maji Maji
Mtibwa Sugar FC vs African Lyon-Uwanja wa Manungu
Azam FC vs Ruvu Shooting-Azam Complex
Kagera Sugar vs Tanzania Prisons-Uwanja wa Kaitaba
Mbao FC vs JKT Ruvu-CCM Kirumba
Jumatatu (Oktoba 3, 2016)
Toto African vs Ndanda FC-CCM Kirumba
0 comments:
Post a Comment