Friday, October 14, 2016

 MABINGWA watetezi wa Ligi kuu soka Tanzania Bara, Young Africans, leo asubuhi wameendelea na mazoezi ya kujiandaa na mechi ya Jumapili ya Ligi kuu dhidi ya Wenyeji Azam FC.
Mechi hiyo imepangwa kufanyika Uwanja wa Uhuru Dar es salaam, japokuwa kuna taarifa kwamba huenda serikali ikalegeza uzi na mchezo ukachezwa Uwanja wa Taifa.
Serikali imezifungia Simba na Yanga kutumia Uwanja wa Taifa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba Mosi mwaka huu kwenye pambano la watani wa jadi, Yanga na Simba,  ambapo viti viling'olewa na mashabiki wa Simba, huku wa Yanga nao wakidaiwa kuvunja geti.
Yanga wataingia Uwanja wakiwa na furaha ya ushindi wa mabao 3-1 waliopata Jumatano ya Wiki hii dhidi ya Mtibwa Sugar, wakati Azam FC walichapwa 1-0 na Stand United dimba Kambarage, Shinyanga. 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video