KIKOSI cha wachezaji wa Yanga kilipokuwa kikipasha misuli jaba tayari kuwakabili Toto Africans hii leo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Yanga kwa sasa wanashika nafasi ya nne wakiwa na alama 15 baada ya kucheza michezo nane. Baada ya mchezo wa leo Yanga watasafiri moja kwa moja kuelekea mjini Bukoba kukabiliana na Kagera Sugar katika Uwanja wa Kaitaba.
Wednesday, October 19, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment