Friday, October 21, 2016


 Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi ya mwisho jioni ya leo tayari kwa maandalizi ya kuwakabili wenyeji wao Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaofanyika kesho katika Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. Yanga wanalazimika kushinda mchezo huo ili kuendelea kuweka matumaini ya ubingwa hai kutokana na mwenendo mzuri walio nao mahasimu wao Simba SC ambao mpaka sasa ndio vinara wa ligi wakiwa na alama 26 huku Yanga wakiwa na ala 18 licha ya kuwa nyuma kwa mchezo mmoja.









0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video